Nasaba ya Han (kwa Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK220 BK) ilitawala Uchina baada ya nasaba ya Qin, na ilitangulia Madola Matatu. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama ukoo wa Liu.

Eneo la utawala wa Han katika Uchina.

Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Han kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.