Nicki Minaj

mwanamuziki mzaliwa wa Trinidad, alizaliwa mnamo 1982

Onika Tanya Maraj (anayejulikana kama Nicki Minaj; alizaliwa St. James, Trinidad, 8 Desemba 1982) ni rapa, mtunzi wa miziki na mwamitindo kutoka Trinidad na Tobago (Amerika visiwani).

Nicki Minaj.

Maisha hariri

Alizaliwa Saint James, Port of Spain, na kukulia Queens, New York City. Minaj alipata kutambuliwa na umma baada ya kutoa albamu tatu Playtime Is Over (2007), Sucka Free (2008), na Beam Me Up Scotty (2009) na kisha akajiunga na Young Money Entertainment mwaka 2009.

Albamu ya kwanza ya Minaj na albamu ya pili, alitoa siku ya ijumaa mwaka(2010) ambayo aliita ijumaa ya zambarau: Roman Reloaded na minaj mwaka (2012), walitajwa kuwa nambari moja kwenye Umoja wa Mataifa ya Billboard hot100 na walitoa miziki mizuri zaidi iitwayo "Super Bass" na "Starships". Mwaka 2010, Minaj akawa msanii wa kwanza wa kike wa kike kuwa na albamu saba kwenye chati ya Marekani ya Billboard Hot 100. alitoa Albamu yake ya tatu katika studio,ya Pinkprint mwaka (2014),ambayo aliita , "Anaconda", ambayo ilishika namba mbili juu ya Hot 100 . Minaj alitoa filamu yake ya kwanza ambayo inaitwa Ice aɡe.

Minaj alikuwa msanii wa mwanamke wa kwanza aliyejumuishwa katika Orodha ya MTV.

Tuzo na uteuzi hariri

Minaj amepata tuzo mbalimbali ikiwemo American Music Awards (6), BET Awards (10), BET Hip Hop Awards (7), Billboard Music Awards (4), MTV Video Music Awards (4), MTV Europe Music Awards (5), People's Choice Awards (2), Soul Train Music Award (1), na Teen Choice Awards (4).

Kati ya mwaka 2011 and 2016, Minaj aliteuliwa mara 10 kwenye Grammy Award. Uteuzi wa kwanza wa Grammy ulikuwa ni mwaka 2010 kwa wimbo wa "My Chick Bad" aliouimba na rapa Ludacris.

Diskografia hariri

Filamu hariri

Ziara hariri

Mtumbuizaji mkuu hariri

Mfungua jukwaa hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicki Minaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.