Nikandro na Herme (walifariki Myra, Licia, leo nchini Uturuki, karne ya 4 hivi) walikuwa Wakristo waliofia dini yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].

Nikandro alikuwa askofu na Herme padri.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.