Nikola wa Trani (Steiri, Beotia, Ugiriki, 1075 - Trani, Puglia, Italia, 2 Juni 1094) aliishi ujana wake bila makao maalumu, akishika msalaba mikononi na kukariri daima "Kyrie, eleison" ("Bwana, utuhurumie")[1]. Jambo hilo lilimfanya adharauliwe na kudhulumiwa na wengi, lakini yeye hakupotewa na utulivu wake.

Picha takatifu ya Mt. Nikola wa Trani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Juni[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Santiebeati.it: San Nicola il Pellegrino
  2. Martyrologium Romanum
  3. "Άγιος Νικόλαος ο Προσκυνητής ο δια Χριστόν σαλός." In: ΠΕΤΡΙΔΗΣ ΙΚΑΡΟΣ. ΕΜΠΑΙΖΟΝΤΕΣ «ΗΜΕΙΣ ΜΩΡΟΙ ΔΙΑ ΧΡΙΣΤΟΝ...» ΜΟΡΦΗ ΕΚΔΟΤΙΚΗ. Μάρτιος 2008. ISBN 978-9608924178.

Marejeo

hariri
  • Cioffari, Gerardo, 1994: San Nicola Pellegrino. Levante editore
  • Archdiocese of Trani, Barletta, Bisceglie and Nazareth (publ.), 2004: San Nicola il Pellegrino: Atti, testimonianze e liturgie in occasione dei festeggiamenti del IX centenario della sua morte. 10 anni dopo. Trani

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.