Ninawi (kwa Kiakadi: Ninwe; kwa Kiashuru: ܢܸܢܘܵܐ; kwa Kiebrania נינוה , Nīnewē; kwa Kigiriki Νινευη, Nineuē; kwa Kiarabu: نينوى, Naīnuwa) ulikuwa mji mkuu wa Waashuru upande wa mashariki wa mto Tigri.

Ramani ya Ninawi ikionyesha ngome ya mji huo wa kale pamoja na malango yake.

Magofu yake yako ng'ambo ya mto huo ukitokea Mosul (Iraki).

Mji huu ulikuwa mkubwa kuliko yote duniani[1] kwa miaka hamsini hadi mwaka 612 KK uliposhindwa na Wababuloni.[2]

Katika Biblia ni maarufu hasa kutokana na habari zinazopatikana katika kitabu cha Yona na zilizotumiwa na Yesu kuhimiza toba akisema watu wa Ninawi watasimama kuhukumu watu ambao hawatatubu siku za mwisho[3] .

Tanbihi hariri

 1. Ninawi ni nchi gani kwasasa? – Site title (sw). WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO (2022-03-11). Iliwekwa mnamo 2022-04-09.
 2. Matt T. Rosenberg. Largest Cities Through History. geography.about.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-08-18. Iliwekwa mnamo 6 May 2013.
 3. Ninawi ni nchi gani kwasasa? – Site title (sw). WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO (2022-03-11). Iliwekwa mnamo 2022-04-09.

Marejeo hariri

 • John Malcolm Russell, Sennacherib's "Palace without Rival" at Nineveh, University Of Chicago Press, 1992, ISBN 0226731758
 • Richard David Barnett, Sculptures from the north palace of Ashurbanipal at Nineveh (668-627 B.C.), British Museum Publications Ltd, 1976, ISBN 0714110469
 • R. Campbell Thompson and R. W. Hutchinson, A century of exploration at Nineveh, Luzac, 1929
 • Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume I, British Museum, 1889
 • Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume II, British Museum, 1891
 • Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume III, British Museum, 1893
 • Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume IV, British Museum, 1896
 • Carl Bezold, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Volume V, British Museum, 1899
 • W. L. King, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement I, British Museum, 1914
 • W. G. Lambert, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement II, British Museum, 1968
 • W. G. Lambert, Catalogue of the Cuneiform Tablets in the Kouyunjik Collection of the British Museum: Supplement III, British Museum, 1992
 • M. Louise Scott and John MacGinnis, Notes on Nineveh, Iraq, vol. 52, pp. 63–73, 1990

Viungo vya nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.