Nonso Amadi (alizaliwa Septemba 1, 1995) ni mwimbaji wa nchini Nigeria, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki. [1]

NdaniTGIFShow : Nonso Amadi
NdaniTGIFShow : Nonso Amadi

Maisha ya awali hariri

Nonso Amadi alizaliwa Septemba 1, 1995, kwa wazazi wake nchini Nigeria. Ni wa tatu kati ya familia ya watu saba na alikulia Nigeria kabla ya kuhamia Uingereza .

Elimu hariri

Alisomea katika chuo cha Chrisland Idimu, Lagos na kuhitimu mwaka 2009. Alisomea uhandisi wa kemikali katika Chuo Kikuu cha Covenant, na mnamo 2014 aliendelea na masomo yake katika Chuo Kikuu cha Swansea Uingereza. Ana shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha McMaster, Kanada . [2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nonso Amadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.