Odo wa Urgell
Odo wa Urgell (Sort, Lerida, Hispania, 1064 hivi - Urgell, Hispania, 7 Julai 1122) alikuwa askofu wa mji huo wa Katalunya tangu mwaka 1095 hadi kifo chake[1].
Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu kutokana na wema wake kwa wote, hasa maskini.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |