Oliva wa Anagni (alifariki Anagni, Lazio, Italia, 492), alikuwa bikira ambaye alikataa kuolewa akaenda kuishi upwekeni hadi kifo chake ujanani [1].

Scultura di Santa Oliva, chiesa di Castro dei Volsci, FR.
Sanamu ya Mt. Oliva, kanisa la Castro dei Volsci, Frosinone, Italia.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni [2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.