Mkoa wa Oshikoto
(Elekezwa kutoka Oshikoto)
Mkoa wa Oshikoto ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 160,788 kwenye eneo la 26,607 km². Mji mkuu ni Omuthiya.
Jiografia
haririMiji mikubwa ni pamoja na Tsumeb na Oniipa.
Picha za Oshikoto
hariri-
Ziwa Otjikoto
-
Fort Namutoni katika Hifadhi ya Taifa ya Etosha
Tovuti za Nje
hariri- Oshikoto - Official Website Archived 14 Juni 2013 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oshikoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |