Pantaleo mfiadini
Pantaleo (kwa Kigiriki Παντελεήμων, Panteleímon, yaani "Mwenye huruma tupu") alikuwa Mkristo wa Nikomedia huko Bitinia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya Kaisari Diocletian mwaka 305 BK[1][2]. .

Picha takatifu ya karne ya 13 iliyoko katika monasteri ya Mt. Katerina juu ya Mlima Sinai ikionyesha pia matukio ya maisha ya Mt. Pantaleo.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3], Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Butler, Alban (2000). Butler's Lives of the Saints. Continuum International Publishing Group, 217.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/64575
- ↑ Antonelli, Antonello. "San Pantaleone" Santi e beati
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Online, Catholic. St. Pantaleon - Saints & Angels - Catholic Online.
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Life of St Panteleimon with a portrait in the traditional icon style
- Catholic Encyclopedia: Saint Pantaleon
- Paul Guérin, Les Petits Bollandistes: Vies des Saints, (Bloud et Barral: Paris, 1882), Vol. 9 Archived 23 Oktoba 2005 at the Wayback Machine. Hagiography for children (in English)
- Article in OrthodoxWiki
- St. Panteleimon Archived 2 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- Gandzasar Monastery, Nagorno Karabakh
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |