Panther (kibwagizo)
Panther ni jina la kutaja albamu ya kibwagizo cha filamu ya mwaka wa 1995, Panther. Ilitolewa mnamo tarehe 2 Mei, 1995 kupitia Mercury Records na huhesabiwa kama mchanganyiko wa muziki wa hip hop na R&B, huku matayarisho yake yakifanya na baadhi ya majina makubwa ya utayarishaji wa muziki huo ikiwa pamoja na Dallas Austin na Teddy Riley. Kibwagizo hiki kilifikia nafasi ya 37 kwenye chati za Billboard 200 na 5 kwenye Top R&B Albums, na ilitunukiwa dhahabu mnamo Julai 25, 1995.
Panther | ||
---|---|---|
Soundtrack ya Wasanii mbalimbali | ||
Imetolewa | Mei 2, 1995 | |
Imerekodiwa | 1994-1995 | |
Aina | Hip hop, R&B | |
Urefu | 77:23 | |
Lebo | Mercury | |
Mtayarishaji | Dallas Austin, Diamond D, Teddy Riley, Easy Mo Bee, Jermaine Dupri, Brian McKnight, QD III, Rodney Jerkins, Tony! Toni! Toné!, |
Makadirio ya kitaalamu | |
---|---|
Tahakiki za ushindi | |
Chanzo | Makadirio |
Allmusic | [Panther (kibwagizo) katika Allmusic link] |
Nyimbo tatu ziliingia katika chati za Billboard, "Head Nod" ya Hodge, "The Points", ushirikiano baina ya wasanii 12 maarufu wa hip-hop, na "Freedom (wimbo kutoka katika Panther)", ushirikiano baina ya waimbaji wanawake wa R&B na Hip-hop zaidi ya 60.
Orodha ya nyimbo
hariri1. "Freedom (wimbo kutoka katika Panther)"- 4:47 (Aaliyah, Felicia Adams, May May Ali, Amel Larrieux, Az-Iz, Blackgirl, Mary J. Blige, Tanya Blount, Brownstone, Casserine, Changing Faces, Coko, Tyler Collins, N'Dea Davenport, E.V.E., Emage, En Vogue, Eshe & Laurneá (of Arrested Development), Female, For Real, Penny Ford, Lalah Hathaway, Jade, Jamecia, Jazzyfatnastees, Queen Latifah, Billy Lawrence, Joi, Brigette McWilliams, Milira, Miss Jones, Cindy Mizelle, Monica, Me’Shell NdegéOcello, Natasha, Pebbles, Pure Soul, Raja-Nee, Brenda Russell, SWV, Chantay Savage, Sonja Marie, Tracie Spencer, Sweet Sable, TLC, Terri & Monica, Vybe, Crystal Waters, Caron Wheeler, Karyn White, Vanessa Williams, Xscape, Y?N-Vee, Zhané)
2. "Express Yourself"- 3:48 (Joe)
3. "We'll Meet Again"- 4:43 (Blackstreet)
4. "Black People"- 4:11 (George Clinton, Belita Woods & Funkadelic)
5. "Let's Straighten It Out"- 4:05 (Usher & Monica)
6. "The Points"- 4:54 (Big Mike, Biggie Smalls, Bone Thugs-n-Harmony, Buckshot, Busta Rhymes, Coolio, Digable Planets, Heltah Skeltah, Ill Al Skratch, Jamal, Menace Clan & Redman)
7. "Slick Partner"- 2:46 (Bobby Brown)
8. "Stand (You Got To)"- 4:35 (Aaron Hall)
9. "The World Is a Ghetto"- 4:32 (Da Lench Mob)
10. "If I Were Your Woman" (Shanice & Female)
11. "We Shall Not Be Moved"- 4:49 (Sounds of Blackness & Black Sheep)
12. "A Natural Woman (You Make Me Feel Like)"- 3:48 (Female)
13. "Freedom" (Dirty Dozen remix)- 4:49 (MC Lyte, Meshell Ndegeocello, Nefertiti, Patra, Queen Latifah, Salt-n-Pepa, Left Eye of TLC, Da 5 Footaz, & Yo-Yo)
14. "Head Nod"- 3:33 (Hodge)
15. "Stand!"- 4:28 (Tony! Toni! Toné!)
16. "Don't Give Me No Broccoli and Tell Me It's Green's"- 6:17 (The Last Poets)
17. "The Star-Spangled Banner"- 3:12 (Brian McKnight, The Boys Choir of Harlem & Slash)
18. "The Ultimate Sacrifice"- 3:15 (Stanley Clarke)