Papa Gregori VIII

Papa Gregori VIII (takriban 110017 Desemba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Oktoba 1187 hadi kifo chake.

Papa Gregori VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Albert de Mora.

Alimfuata Papa Urbano III akafuatwa na Papa Klementi III.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.