Papa Gregori XI

Papa Gregori XI (takriban 133627 Machi 1378) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Desemba 1370 hadi kifo chake.

Papa Gregori XI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger de Beaufort.

Alimfuata Papa Urbano V akafuatwa na Papa Urbano VI.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.