Papa Klementi II

Papa Klementi II (10059 Oktoba 1047) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Desemba 1046 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Suidger wa Morsleben.

Papa Klementi II.

Alimfuata Papa Gregori VI akafuatwa na Papa Benedikto IX.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.