Papa Klementi V

Papa Klementi V.

Papa Klementi V (126420 Aprili 1314) alikuwa papa kuanzia tarehe 5 Juni 1305 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Goth.

Alimfuata Papa Benedikto XI akafuatwa na Papa Yohane XXII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.