Papa Yohane XXII
Papa Yohane XXII (takriban 1249 – 4 Desemba 1334) alikuwa Papa kuanzia mwaka 1316 hadi kifo chake. Alichaguliwa tarehe 7 Agosti 1316, na kuvishwa taji tarehe 5 Septemba mwaka uleule katika mji wa Lyon[1]. Alitokea Cahors, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Duèse.
Alimfuata Papa Klementi V akafuatwa na Papa Benedikto XII.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |