Papa Lucius II (alifariki 15 Februari 1145) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Machi 1144 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].

Papa Lucius II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerardo Caccianemici dal Orso.

Alimfuata Papa Selestini II akafuatwa na Papa Eugenio III.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.