Papa Nikolasi II

Papa Nikolasi II alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Januari 1059 hadi kifo chake tarehe 19 au 27 Julai 1061.

Papa Nikolasi II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gérard de Bourgogne.

Alimfuata Papa Stefano IX akafuatwa na Papa Alexander II.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.