Papa Alexander II

Papa Alexander II alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Septemba 1061 hadi kifo chake tarehe 21 Aprili 1073. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Anselmo da Baggio.

Papa Aleksanda II.

Alimfuata Papa Nikolasi II akafuatwa na Papa Gregori VII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.