Papa Nikolasi IV

Papa Nikolasi IV, O.F.M. (30 Septemba 12274 Aprili 1292) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Februari 1288 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lisciano, Ascoli Piceno, Italia[2].

Papa Nikolasi I.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Girolamo Masci. Alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, halafu mkuu wake kama mwandamizi wa Bonaventura wa Bagnoregio.

Alimfuata Papa Honori IV akafuatwa na Papa Selestini V.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.