Papa Silvester III

Papa Silvester III (alifariki 1063) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 au 20 Januari hadi mwezi Machi 1045[1] baada ya Papa Benedikto IX kufukuzwa madarakani mnamo Septemba 1044. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Silvester III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohane Crescenzi.

Alilazimishwa kujiuzulu akafuatwa na Papa Benedikto IX aliyekuwa mtangulizi wake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.