Papa Sisinnio

Papa Sisinnio alikuwa Papa kwa wiki tatu tu kuanzia tarehe 15 Januari 708 hadi kifo chake tarehe 4 Februari 708[1]. Alitokea Syria[2].

Papa Sisinio.

Alimfuata Papa Yohane VII akafuatwa na Papa Konstantino.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sisinnio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.