Papa Viktor II

(Elekezwa kutoka Papa Vikta II)

Papa Viktor II (takriban 101828 Julai 1057) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Aprili 1055 hadi kifo chake[1]. Alitokea Swabia, Bavaria, Ujerumani[2].

Papa Vikta II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gebhard wa Calw, Tollenstein na Hirschberg.

Alimfuata Papa Leo IX akafuatwa na Papa Stefano IX.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.