Papa Yohane IV alikuwa Papa kuanzia Agosti au tarehe 24 Desemba 640 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 642[1]. Alitokea Dalmatia[2]. Jina la baba yake lilikuwa Venantius.

Papa Yohane IV.

Alimfuata Papa Severino akafuatwa na Papa Theodori I.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Sereno Detoni, Giovanni IV. Papa dalmata, Libreria Editrice Vaticana, 2006 ISBN 978-88-209-7889-1
  • Luciano Rota, I Papi Caio e Giovanni IV, in Istria e Dalmazia. Uomini e tempi, II, Dalmazia, Udine, Del Bianco 1992

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.