Papa Yohane VI

Papa Yohane VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Oktoba 701 hadi kifo chake tarehe 11 Januari 705.[1][2]. Alitokea Ugiriki[3] au alizaliwa Efeso (leo katika nchi ya Uturuki).

Papa Yohane VI.

Alimfuata Papa Sergio I akafuatwa na Papa Yohane VII.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.