Papa Sergio I

Papa Sergio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Desemba 687 hadi kifo chake tarehe 7 Septemba 701[1]. Alitokea Syria[2] au alizaliwa Palermo (Italia) katika familia kutoka Syria.

Mt. Sergio I.

Alimfuata Papa Konon akafuatwa na Papa Yohane VI.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.