Papa Yohane XXI

Papa Yohane XXI (121520 Mei 1277) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 1276 hadi kifo chake.

Papa Yohane XXI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião.

Alimfuata Papa Adriano V akafuatwa na Papa Nikolasi III.

MarejeoEdit

  • Maxwell-Stuart, P. G. Chronicle of the Popes: The Reign-by-Reign Record of the Papacy from St. Peter to the Present, Thames & Hudson, 2002, p. 119. ISBN 0-500-01798-0.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.