Pardulfi
Pardulfi (pia: Pardulphus, Pardulf, Pardoux; Sardent, leo nchini Ufaransa, 657 - Gueret, leo nchini Ufaransa, 6 Oktoba 737) alikuwa mkaapweke wa Kanisa Katoliki, halafu abati wa kwanza wa monasteri ambayo aliiongoza hadi kifo chake huko [1].
Maarufu kwa maisha matakatifu, inasemekana alifukuza Waislamu waliotaka kuvamia monasteri yake baada ya kushindwa na Karolo Nyundo, mfalme wa Wafaranki.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Jacques Baudoin, Grand livre des saints : culte et iconographie en Occident, Éd. Créer, 2006, notice, numéro 432, p. 384: « Saint Pardoux » ([1]).
- Fouracre, Paul (2000). The Age of Charles Martel. Pearson Education. ISBN 0-582-06476-7
Viungo vya nje
hariri- St. Pardulphus
- (Kifaransa) LA LÉGENDE DE SAINT PARDOUX
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |