Pasikrate na Valensyoni

Pasikrate na Valensyoni (walifariki Silistra, Mesia, leo nchini Bulgaria, 302) walikuwa Wakristo wa Durostoro waliouawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Kisha kumkiri Yesu kuwa Mungu pekee, wenyewe walinyosha kwa ushujaa shingo zao kuelekea upanga.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 25 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50710
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.