Patongo, Uganda
Patongo ni mji katika wilaya ya Agago, eneo ndogo la Acholi katika Mkoa wa Kaskazini mwa nchi ya Uganda. Mji unasimamiwa na halmashauri ya mji wa Patongo.
Mahali
haririPatongo ni takribani kilomita 21.5 (maili 13.4), kwa barabara, kusini mwa Agago, eneo la makao makuu ya wilaya.[1]
Marejeo
hariri- ↑ GFC (23 Julai 2015). "Road Distance Between Patongo And Agago With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Patongo, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |