Patroklo wa Troyes

Patroklo wa Troyes (pia: Patroccus, Patroclus, Patroklus, Parre; alifariki takriban 259) alikuwa Mkristo tajiri mkarimu wa mji huo, Galia (leo nchini Ufaransa) katika karne ya 3.

Mt. Patroklo.

Alifia dini yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, chini ya utawala wa kaisari Aurelian.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni 21 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.