Philip Isdor Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Philip Isdor Mpango (amezaliwa katika wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma, 14 Julai 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.

Philip Mpango

Aliteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa rais John Magufuli kwa miaka 20152020 [1], halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini tarehe 30 Machi 2021 aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania[2].

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-philip-mpango-ni-nani--3342068