Philippus Mwarabu
(Elekezwa kutoka Philip Mwarabu)
Marcus Julius Philippus (takriban 204 – Septemba 249) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alipenda Ukristo.
Alimfuata Gordian III akauawa na mwandamizi wake, Gaius Messius Quintus Decius ambaye alianza mapema dhuluma mpya dhidi ya Wakristo.
Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa na wazazi Waarabu katika jimbo la Arabia karibu na mji wa Damasko (Syria).
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Philippus Mwarabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |