Mtende (mti)
(Elekezwa kutoka Phoenix)
Mtende (Phoenix spp.) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mitende (Phoenix spp.) ni miti ya familia Aracaceae na oda Arecales inayozaa matunda yaitwayo matende. Spishi inayojulikana sana ni mtende wa kawaida (P. dactylifera) au mtende kwa ufupi, unaokuzwa kwa matunda yake makubwa na matamu sana. Spishi nyingine, k.m. mtende wa Kanari (P. canariensis) na mtende mfupi (P. roebelenii), hupandwa mahali pengi kwa sababu za uzuri. Kiasili hutokea kutoka Visiwa vya Kanari kupitia Afrika ya Kaskazini na ya Kati, Kreta, Mashariki ya Kati na Asia ya Kusini hadi kusini mwa Uchina na Malaysia. Makazi yao ni pamoja na majangwa, vinamasi na nyangwa.
Spishi za Afrika
hariri- Phoenix atlantica, Mtende wa Kabo Verde (Cape Verde Islands date palm))
- Phoenix caespitosa, Mtende kibete (Dwarf date palm)
- Phoenix canariensis, Mtende wa Kanari (Canary Islands date palm)
- Phoenix dactylifera, Mtende wa kawaida (Date palm)
- Phoenix reclinata, Mtende wa Senegali (Senegal date palm)
Spishi za Asia
hariri- Phoenix acaulis (Stemless date palm)
- Phoenix andamanensis (Andaman Islands date palm)
- Phoenix loureiroi (Mountain date palm)
- Phoenix paludosa (Mangrove date palm)
- Phoenix pusilla (Ceylon date palm)
- Phoenix roebelenii (Pygmy date palm)
- Phoenix rupicola (Cliff date palm)
- Phoenix sylvestris (Indian date palm)
- Phoenix theophrasti (Cretan date palm)
Picha
hariri-
Mtende wa Kabo Verde
-
Mtende wa kawaida
-
Mtende wa Senegali
-
Stemless date palm
-
Mountain date palm
-
Mangrove date palm
-
Ceylon date palm
-
Pygmy date palm
-
Cliff date palm
-
Indian date palm
-
Cretan date palm
-
Maua ya kike
-
Maua ya kiume
-
Matende mtini
-
Matende
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtende (mti) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |