Pishoi (Shansa, 320 - Milima ya Ansena, 15 Julai 417) alikuwa mmonaki wa Misri.

Picha takatifu ya Kikopti ya Mt. Pishoi, ikiwa na matukio ya maisha yake.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Juni na 15 Julai.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.