Pomposa (alizaliwa na kufariki Cordoba, Hispania, 19 Septemba 853) alikuwa mtawa bikira aliyeuawa kwa kukatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo.

Ili kupata heshima hiyo, alipopata taarifa ya kifodini cha Kolomba wa Cordoba, alitoroka monasteri yake akaenda kukiri imani yake mbele ya hakimu[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Septemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.