Porkari na wenzake
Porkari na wenzake (walifariki Lerins, leo nchini Ufaransa, 739 hivi) walikuwa abati na wamonaki wenzake, inasemekana 500, walioishi katika visiwa vya Lerins au waliokimbilia usalama huko na ambao waliuawa na maharamia Waislamu[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |