Primo na Donato
Primo na Donato (walifia dini 363 hivi huko Lemellefa, leo Bordj-Ghedir, nchini Algeria) walikuwa mashemasi wa mkoa wa Mauretania (Dola la Roma) waliouawa wakati wa dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Februari[1].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |