Renula (pia: Relindis; alifariki 750) alikuwa mmonaki Mbenedikto katika eneo la Ubelgiji wa leo. Baada ya kifo cha dada yake, Herlindis, akawa abesi wa monasteri iliyoanzishwa na baba yao[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 6 Februari ya kila mwaka[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.