Restituta wa Teniza

Restituta wa Teniza (alifariki 16 Mei 304) alikuwa bikira Mkristo katika Tunisia ya leo aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[1] na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Mei[3][4].

Pengine anachanganywa na Restituta mwingine, mmojawapo kati ya wafiadini wa Abitina.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Catholic.org
  2. Ἡ Ἁγία Ρεστιτούτα ἡ Μάρτυς. 17 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  4. https://catholicsaints.info/saint-restituta-of-carthage/

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.