Rikari (kwa Kifaransa: Riquier; Ponthieu, leo nchini Ufaransa, 560 hivi - Crécy, 26 Aprili 645 hivi) alikuwa mmonaki padri anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri mbili nchini mwake baada ya kufanya umisionari huko Uingereza[1]. Hatimaye aliishi kama mkaapweke msituni [2][3][4].

Panapotunzwa masalia yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[5].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • (Kiitalia) Carlo Massini, Prima raccolta di vite de' santi per ciaschedun giorno dell'anno con la vita di Gesù Cristo e le feste mobili, vol. 4, Roma, 1819.
  • (Kifaransa) Jules Hénocque, Histoire de l'abbaye et de la ville de Saint-Riquier, vol. 1, Amiens, A. Douillet, 1880.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.