Roza Fan Hui
Roza Fan Hui (Fan, 1855 hivi - Fan, 16 Agosti 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia. Hao, baada ya kumjaza majeraha walimtupa mtoni akiwa bado hai [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe 16 Agosti[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |