Rupert wa Salzburg

Rupert wa Salzburg (pia: Ruprecht, Rudbertus, Roudbertus, Rupertus, Hrodperht, Hrodpreht na Robert; 660 hivi - Salzburg, Austria, 27 Machi 710) alikuwa mmonaki wa Kikolumbani, halafu askofu mmisionari huko Rhineland, Bavaria na Austria, akianzisha pia monasteri kuendelea kueneza Ukristo[1].

Mt. Rupert akishika chombo cha chumvi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Bibliotheca hagiographica Latina, (Brussels, 1899), n. 7390-7403
  • W. Levison, “Die älteste Lebensbeschreibung Ruperts von Salzburg” in Neues Archiv für ältere deutsche Geschichtskunde, xxviii. 283 seq.
  • Hauck, Kirchengeschichte Deutschlands (3rd ed.), i. 372 seq.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.