Sabiniani na Potensyani
Sabiniani na Potensyani (walifariki Sens, Ufaransa, karne ya 4 hivi) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya serikali ya Dola la Roma.
Inasadikika kwamba walikuwa wachungaji wa kwanza wa mji huo waliokamilisha huko kwa kifodini chao ungamo lao la imani[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |