Sage Steele

Mtangazaji wa michezo wa televisheni Marekani

Sage Marie Steele (alizaliwa Novemba 28, 1972) ni mtangazaji wa kike wa televisheni wa nchini Marekani.

Sage Steele akiwa katika Uchangishaji wa 10 wa Mwaka wa CoachArt Gala mnamo Oktoba 16, 2014

Maisha ya awali

hariri

Steele ni binti ya Gary & Mona (O'Neil) Steele. Mona ana asili ya Ireland na Italia. Gary ni Mweusi na alikuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu mweusi katika klabu ya West Point katikati ya miaka ya 1960. [1] Aliingizwa katika Army Sports Hall of Fame mnamo 2013 kwa kazi yake bora kwenye mpira wa miguu wa Black Knights.

Sage Steele alizaliwa katika familia ya Jeshi la Marekani inayoishi katika Eneo la Mfereji wa Panama [2] Steele ana kaka wawili, Courtney na Chad (makamu mkuu wa rais wa mahusiano ya vyombo vya habari wa NFL's Baltimore Ravens ). [3] [4]

Steele kazi yake ya kwanza ya utangazaji wa Televisheni ilikuwa katika kituo kijulikanacho kama WSBT-TV, CBS- huko [South Bend] Indiana, kama mtayarishaji wa habari na mwandishi tangu mwaka 1995 hadi mwaka 1997.


Viungo vya Nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. Nerves of Steele St. Petersburg Times, June 9, 2000
  2. Wollschlager, Mike. "ESPN's Sage Steele Renovates an Avon Colonial into a Dream Home". Connecticut Magazine (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-02. Iliwekwa mnamo 2021-06-02.
  3. People - Front Office Ilihifadhiwa 21 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. Baltimore Ravens
  4. Murphy, Jen (2 Juni 2014). "Sage Steele of 'NBA Countdown' Pumps Iron in a Group". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sage Steele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.