Sara na wanae wawili (walifariki 330 hivi) walikuwa Wakristo wa Antiokia, leo nchini Uturuki, waliouawa chini ya kaisari Dioklesiani[1].

Katika juhudi za kubatiza wanae, Sara aliwapeleka hadi Misri, kwa Petro I wa Aleksandria.

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki[2] kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.