Petro I wa Aleksandria
Petro I wa Aleksandria alikuwa Papa wa 17 wa Kanisa la Kikopti, aliyepambwa na maadili yote, ambaye ghafla, kwa amri ya kaisari Galerius, alikatwa kichwa kwa ajili ya imani ya Ukristo tarehe 25 Novemba 311[1].
Pamoja naye waliuawa maaskofu wenzake Esiki, Pakomi na Theodori (kwa upanga), mapadri Fausto, Dio na Amoni na wengine wengi. Ndio wahanga wa mwisho katika Mateso ya Wakristo chini ya Dola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.[2]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92837
- ↑ "St. Peter of Alexandria". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ http://catholicsaints.info/saint-peter-of-alexandria-25-november/
Marejeo
hariri- "Petros I (300–311)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-08.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Hieromartyr Peter the Archbishop of Alexandria Eastern Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |