Sarit Thanarat (kwa Kithai: สฤษดิ์ ธนะรัชต์; 16 Juni 1908 - 8 Desemba 1963) alikuwa afisa wa jeshi la Thailand na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Thailand na dikteta kutoka mwaka 1959 hadi 1963.

Sarit Thanarat
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarit Thanarat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.