Saserdosi wa Limoges

Saserdosi wa Limoges (670 hivi - 720 hivi) kwa sehemu kubwa ya maisha yake alikuwa padri mmonaki karibu na Limoges, leo nchini Ufaransa; katikati kwa miaka 5 alikuwa askofu wa mji huo, lakini hatimaye alirudia umonaki [1].

Mt. Saserdosi katika dirisha la kioo cha rangi huko Fonroque.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 5 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.