Sekondina wa Anagni

Sekondina wa Anagni (alifariki Anagni, Lazio, Italia, 250 hivi), alikuwa bikira ambaye aliongokea Ukristo kwa mahubiri ya Magnus wa Trani, alivuta wengi kumfuata akafia dini yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari [2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.